Atukuzwaye Shewedi

Pod ya Ahmad Shelimo - Shule ya Ustaarabishaji na Usasa. Mwanasiasa wa ACT - Wazalendo na Muumini wa Usawa.

Listen on:

  • Podbean App

Episodes

Wednesday Sep 02, 2020

ACT - WAZALENDO LOG.. WE RESPECT YOUR CIRCLE. GET BUSY WITH 50% AND DON'T EITHER MESS WITH MY 50%

Wednesday Sep 02, 2020

Matatizo ya Watu wazima, Hayatatuliwi Kitoto. Pamba za kufa mtu wakati Mfukoni huna kitu, Nyumba ya Manyasi kama kiota cha Ndege

Tuesday Sep 01, 2020

Kuna taasisi Wakigundua kama wewe ni GLBT wanaona kama Unawadai na wanalojukumu la kukulipa. unataka nini? Utajiri, Umaarufu, Ushawishi, Upendo au Mapenzi?. Serekali lazima Ipambane na Ubaguzi wa GLBT. Ndio maana siipendi CCM. Wakati Tumawaza maendeleo wao wanawaza kwanza upendeleo - Mashoga yao yanawadai na wakishindwa Uchaguzi watashindwa kuyalipa.

Wednesday Aug 26, 2020

Mutu Na sheka tu.

Vita Dhidi Ya Jamii ya GLBT,

Tuesday Aug 25, 2020

Tuesday Aug 25, 2020

Ubaguzi na Ushenzi Uliopitiliza. Hawa sio Wahanga ni Wanyanyasaji wababe na Wabaguzi. Kila kitu sicho tu, sicho tu, sicho tu kwanini?!

Tuesday Aug 25, 2020

Mwinyi ndio Baba Wa System (Mfumo kandamizi Tanzania) na Ni wazi walidunisha na Kudumaza Uchumi wa Nchi yetu. Hatupaswa kuwa hapa! Hatupaswi kuteseka kwa Makosa ya Watu wengine, Hatupaswi kuteseka kwa Dhambi za CCM. Nyerere akiondoka kwenye Kiti cha Uraisi Mambo yatakuwa Shwari, Wakamuondoa. Baadae bado anatutawala basi Raisi ndio awe pia Mwenyekiti wa Chama. Utopolo juu ya Utopolo. Kazi yao ya Miezi zilikuwa zinadondoka kwa Hotuba yake Fupi. Mawe Juu ya Mayai.

Ulazima wa Kurudisha Utumwa

Thursday Aug 20, 2020

Thursday Aug 20, 2020

Ulazima huo hauepukiki. Ustaarabu lazima Uheshimiwe na Washenzi lazima Walipie Madhara ya Matendo yao. Lazima walipe fidia. Na kama hawana Uwezo wafanyishwe kazi hadi Uharibifu ufidiwe. Hakuna Ruhusa ya Kuharibu Maisha ya Watu wengine. Tabia Mbaya zichukiwe. Dunia iwe sehemu Salama ya Kuishi.

Thursday Aug 20, 2020

Huwezi Shindana Ushenzi na Washenzi kwa Lugha Nyingine Huwezi kuikomoa aridhi kwa kuikanyaga

Thursday Aug 20, 2020

Kama Wanatupenda Wasitupe Samaki watupe Mashua tukavue. Wasitake Nidhamu ya woga kwetu, Watafute Upendo na Huo ndio Urafiki

Copyright 2024 All Rights Reserved

Podcast Powered By Podbean

Version: 20240320