Episodes
Monday Sep 28, 2020
Friday Sep 25, 2020
Friday Sep 25, 2020
Kizuri kula na Ndugu zako. Wasafiri wa Mikoani Zawadi yenu hii. Ukiweka Comment utaongeza Motisha wa Kuzidi kusambaza Maujanja na Upendo huu. Namii taarifa hii itawabariki wengi.
Sunday Sep 20, 2020
Sunday Sep 20, 2020
Kuzuia Wanao Waliokwisha Baleghe kushiriki Mapenzi ni Uzalishaji wa Malaya, Wazinifu na Wasenge. Birthday ya 13 ni wakati Muafaka wa Kuwa na Rafiki maalum, Mpenzi. Kufuta Mikanganyiko. Neno Mke na Mume yafike Mwisho. Na yanadhambi kubwa hayo maneno. Maneno haya ya Kingereza yachukue Nafasi - Boyfriend na Girlfriend. Pia Mjifunge humo. Boyfriend and Girlfriend yamaanishe Rafiki naam Rafiki pia lazima yamaanishe Mpenzi. Sitarajii utafanya Mapenzi na Adui. Sitarajii kuwa Utamdhuru Rafiki
Wednesday Sep 16, 2020
Wednesday Sep 16, 2020
Afya ya Akili - Ulimwengu wa Roho unanafasi yake. Utopolo nao unanafasi yakitika Ulimwengu Roho na Afya ya Akili. Mimi ninayonafasi kubwa kwenye Roho na Afya ya Akili. Ndio maana Watoto na Wendawazimu hunena nami kwa hekima. Na wanaojidai kuwa na hekima huumbuka. Wasalamu
Saturday Sep 12, 2020
Saturday Sep 12, 2020
Kama sio kuwa Salio Kidogo, Huenda ikawa leo Ningelala Wodi ya Vichaa Muhimbili. Hiyo ndio Tanzania ya Mchana Giza - Young Killer na Relax ya Darassa. Kichwa ya CCM msiicha salama. Mwenye Elimu anachezewa Hivi! Je Mburula Mtu wa Shamba Itakuwaje?.
Tuesday Sep 08, 2020
Tuesday Sep 08, 2020
Kule Wanasema Black Matters, Ndio ni wakati wake. Ila hapa __ Every Life matters. Kazi kwenu na Nchi yenu
Monday Sep 07, 2020
Sunday Sep 06, 2020
Sunday Sep 06, 2020
Mjinga hayupo kwa Ajili ya Kuibiwa na Dhaifu hayuko kwa Ajili ya Kudhulumiwa. Taasisi nyeti na zenye Maadili ya Weledi. Ziwe Tayari, Sasa na hata Milele.
Sunday Sep 06, 2020
Friday Sep 04, 2020
Friday Sep 04, 2020
Vita na Atukuzwaye ni Uwendawazimu - Kwenye vita hivyo Mwanao atarithi nini. Anarithi ujinga ujinga tu na Upumbavu. Mti mwema twaufahamu kwa Matunda yake. Na Mtu mwema twamfahamu kwa Matendo na Maneno yake. Kanisa, Msikiti au Shule izalishayo Washenzi lazima ifungwe. Serekali yenye Ushenzi lazima Iondoshwe