Tuesday Aug 25, 2020

Msingi wa CCM ya leo ni Ufisadi na Dhambi! System Inaanguka kwa Kuchagua ACT Wazalendo

Mwinyi ndio Baba Wa System (Mfumo kandamizi Tanzania) na Ni wazi walidunisha na Kudumaza Uchumi wa Nchi yetu. Hatupaswa kuwa hapa! Hatupaswi kuteseka kwa Makosa ya Watu wengine, Hatupaswi kuteseka kwa Dhambi za CCM. Nyerere akiondoka kwenye Kiti cha Uraisi Mambo yatakuwa Shwari, Wakamuondoa. Baadae bado anatutawala basi Raisi ndio awe pia Mwenyekiti wa Chama. Utopolo juu ya Utopolo. Kazi yao ya Miezi zilikuwa zinadondoka kwa Hotuba yake Fupi. Mawe Juu ya Mayai.

Comments (0)

To leave or reply to comments, please download free Podbean or

No Comments

Copyright 2024 All Rights Reserved

Podcast Powered By Podbean

Version: 20240320